WALIOCHAGULIWA CHUO CHA WATER INSTITUTE UBUNGO
Kama wewe ni mzazi, mlezi au mwanafunzi miongoni mwa walio omba kusoma ordinary diploma katika chuo cha maji ubungo mwaka wa masomo 2017/2018 basi orodha ya majina ya waliochaguliwa na ambao hawajachaguliwa tayari ilishatolewa. Orodha imetolewa kwa rawamu mbili:
Kutazama awamu ya kwanza binya HAPA
Kutazama awamu ya pili binya HAPA
Pia mbali na kuotoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa na ambao hawajachaguliwa pia chuo hicho cha maji wametoa Join instruction na kuna fomu ya kujaza na kuipeleka chuoni kwa wale wanaohitaji kupata vyumba chuoni hapo.
Kudownload Join instruction binya HAPA
Kudownload fomu ya accommodation binya HAPA
KWA TAARIFA ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO USISITE KUWA UNATEMBELEA KATIKA BLOG HII YA superneat2013.blogspot.com
USISAHAU KUSHARE NA WENZAKO ILI TAARIFA ZIZIDI KUSAMBAA NA KUWAFIKIA WALENGWA
Nataka kujua ni lini mtaruhusu kufanya maombi ya CHUO upande wa diploma.
ReplyDelete