MASWALI NA MAJIBU KWA WAOMBAJI WA MIKOPO KWA 2017/18
Bodi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) imetoa majibu juu ya maswali yote ambayo waombaji wa mkopo huo wamekuwa nayo.
Bodi imeamua kuainisha maswali 17 ambayo yamekuwa yakiulizwa mara kwa mara pamoja na majibu yake. Miongoni mwa maswali hayo ni Je! ni wapi nitahakiki cheti cha kuzaliwa au kifo cha mzazi/mlezi? ikiwa ni pamoja na suluhisho la nini cha kufanya kwa wale ambao walituma pasipo kufanya hivyo.
Kusoma maswali zaidi BINYA HAPA kudownload maswali hayo yaliyotumwa kwa mfumo wa pdf.
USISITE KUWA UNATEMBELEA BLOG HII KWA UPDATES NYINGINEZO MUHIMU KUHUSU MKOPO NA CHAGUZI ZA VYUO.
Comments
Post a Comment