HABARI KUHUSU MIKOPO KWA KIDATO CHA SITA WOTE
UTANGULIZI
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu/vyuo ( Higher Education Students' Loans Board) ikiwa ni moja ya utekelezaji wa sela ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 ilianzishwa ili kusimamia swala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu/vyuo ikiwa ni pamoja na kusimamia swala la marejesho ya mikopo hiyo kwa wanafunzi wa kuanzia mwaka 1994.
Mikopo hii inatolewa kwa wanafunzi wenye uhitaji na waliokidhi vigezo vya kuendelea na chuo lakini pia lazima wawe wamefanya maombi ya mikopo hii.
Kwa maana rahisi mwanafunzi muhitaji ni:
• Mwanafunzi ambaye hana wazazi wote
• Mwanafunzi ambaye hajiwezi au wazazi wake hawajiwezi (ulemavu)
• Mwanafunzi ambaye amepoteza mzazi mmoja
• Mwanafunzi ambaye anatoka katika familia ya kimasikini.
Mikopo kwa wanafunzi wa degree inatolewa aidha kusaidia kabisa au kusaidia kiasi flani katika maswala ya:
i. Chakula na Makazi
ii. Vitabu na huduma za Stationary
iii. Mahitaji muhimu kuhusiana na kozi husika mwanafunzi anayochukua
iv. Field Practical Training
v. Research
vi. Tuition Fees
A: VIGEZO VYA JUMLA VYA MWANAFUNZI ANAYESTAHILI KUPATA MKOPO
Kila mwaka wa masomo bodi ya mikopo inatoa maelekezo na vigezo vya mwanafunzi wa Higher Diploma au Degree ya kwanza anayestahili kupata mkopo kwa mwaka husika wa masomo. Hivyo ni muhimu kuwa unafuatilia tovuti ya bodi ya mikopo au tovuti hii superneat2013.blogspot.com ili uweze kuwa unapata taarifa kama kutakuwa na mabadiliko yoyote kulingana na mwaka wako wa masomo. Vifuatavyo ni vigezo vya jumla vya mwanafunzi anayestahili kuomba mkopo na kukubaliwa:
1. Lazima awe Mtanzania
2. Lazima awe amefanya maombi ya mkopo (mtandaoni)
3. Lazima awe ametimiza vigezo vyote vya kuendelea na masomo ya Higher Diploma au Degree ya kwanza
4. Lazima awe mwanafunzi ambaye hajadhaminiwa na mashirika mengine
5. Asiwe ameajiliwa
B: NAMNA YA KUOMBA MKOPO
Bodi ya mikopo tangia mwaka wa masomo 2011/2012 ilianziasha mfumo wa uombaji wa mikopo mtandaoni yaani Online Loan Application System (OLAS) kwa malengo ya kurahisisha na kuongeza ufanisi katika swala la uombaji wa mikopo. Lakini kila mwaka wa masomo bodi hiyo inatoa maelekezo ya kuomba mkopo. Zifuatazo ni njia ambazo zimekuwa zikitumika katika swala la kuomba mkopo:
Mwombaji anayetaka kuomba mkopo amekuwa anatakiwa kuomba mkopo kupitia OLAS, hapo atakuta fomu na atatakiwa kuiprint kisha kuijaza na kuambatanisha vitu muhimu kama alivyoelekezwa kisha kuituma kwenda bodi ya mikopo kwa njia ya EMS au Registered mail kutumia anuani hii:-
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
PLOT No.8 BLOCK NO 46, Service Trade Kijitonyama Area,
Sam Nujoma Road, Mwenge,
P.O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
ZINGATIA: Unapoomba mkopo unashauriwa kubaki na nakala(copy) ya kila ulichotuma na kuvitunza bila kusahau risiti uliyoitumia kusafirishia barua yako ya maombi. Risiti ni muhimu kwaajili ya kuifuatilia barua yako ya maombi endapo barua itapotea njiani au vinginevyo.
Waombaji wa mkopo waliokidhi vigezo wanashauriwa kuwa wanatembelea tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz) ili kupata uzoefu juu ya OLAS kabla ya kuomba mkopo.
C: GHARAMA ZA UOMBAJI MKOPO
Mara ya kwanza mwombaji amekuwa akitakiwa kulipa kiasi cha Tzs 30,000/= kisichorymudishwa kupitia M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money kama ada ya uombaji mkopo.
ZINGATIA: Si wakati wowote unaweza kuomba mkopo huwa kuna tarehe ya mwanzo na ya kikomo cha kuomba mkopo, mbali na hapo hutoweza kuomba mkopo isipokuwa kwa wale ambao watakata rufaa kwa sababi fulani fulani napo ni kwa maelekezo maalumu ya bodi. Hivyo ni vizuri kufuatilia vizuri ili usijeukapitwa na muda wa kuomba mkopo na ukakosa mkopo.
D: KUTANGAZWA KWA WALIOKUBALIWA MKOPO
Orodha ya waliokubaliwa mkopo baada ya kuwa uchambuzi yakinifu wa wanafunzi wanaositahili kupata mkopo umefanyika majina hayo yatatumwa katika tovuti ya bodi ya mikopo.
Kwa Pre-Univerties mnashauriwa kujiunga na group la Pre-Universties kwa updates mbalimbali juu ya maswala ya vyuo na mikopo. Katika group hili utatakiwa kulipia ada ili kuunganisha wasiliana nami whatsapp 0622 104 228.
Kwa mawasiliano zaidi:
Simu: 0752 104 228
Whatsapp: 0622 104 228
Email: superneat2013@gmail.com

Poleni na majukumu samahani kama mzazi mmoja hauna taarifa zake kama yupo hai au amefariki ni lazima uambatanishe online na ambazo ninapeleka posta
ReplyDeleteAhsanteni