UDAHILI WA AWAMU YA PILI KWA AMBAO HAWAKUCHAGULIWA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU MWISHO 10/10/2017

Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) inautangazia umma kuwa awamu ya kwanza ya udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tar. 30/08/2017 na uhakiki wa majina ya waombaji wote walioomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/18 tayari.

Hata hivyo kutokana na waombaji wengi kutochaguliwa kutokana na sababu mbalimbali tume imefungua awamu ya pili ya maombi kuanzia 4 hadi 10 octoba 2017.
Kusoma zaidi bofya HAPA

Comments

Popular posts from this blog

MCHONGO WA PESA

WALIOCHAGULIWA CHUO CHA WATER INSTITUTE UBUNGO

HABARI KUHUSU MIKOPO KWA KIDATO CHA SITA WOTE