First Batch of Students Selected to Join Undergraduate Degree Programmes for Academic Year 2017/2018 - SUA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Created on 04 October 2017
The following applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year which commences on the 30th October, 2017. Students are advised to observe the following: Read More
SN DONATION PLATFORM HABARI! NAOMBA MDA WAKO MCHACHE NIKUFAHAMISHE KUHUSU SN DONATION PLATFORM. Ili kuwa mwanachama utafanya usajili ambapo wakati wa usajili utakutana na kipengele kinachokutaka kuweka CODE ya mtu aliyekushirikisha. Jaza CODE uliyopewa na mtu wako na kama haujashirikishwa na mtu basi jaza CODE hii SN0001 kwa Tanzania na hii SNK0002 kwa Kenya. Baada ya hapo utaelekezwa mahali pa kutuma pesa kulingana na CODE uliyoijaza. Kwa Tanzania ni Tzs 6,000/= na Kenya ni Ksh 400/=. Tuma pesa na jaza kumbukumbu namba. Baada ya hapo wasiliana na muhusika uliyemtumia pesa akutibitishe na baada ya yeye kukuthibitisha utaweza kuingia kwenye akaunti yako na utaikuta CODE yako humo. Baada ya kupata CODE ndio safari ya plan A inapoanzia. PLAN A Baada ya kupata CODE sasa hapo utakuwa Daraja C (Yakuti) na ndani ya wiki mbili utatakiwa kuwa umeshirikisha watu watatu watakao jiunga chini yako. ZINGATIA: Kila ulichofanya nd...
Kama wewe ni mzazi, mlezi au mwanafunzi miongoni mwa walio omba kusoma ordinary diploma katika chuo cha maji ubungo mwaka wa masomo 2017/2018 basi orodha ya majina ya waliochaguliwa na ambao hawajachaguliwa tayari ilishatolewa. Orodha imetolewa kwa rawamu mbili: Kutazama awamu ya kwanza binya HAPA Kutazama awamu ya pili binya HAPA Pia mbali na kuotoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa na ambao hawajachaguliwa pia chuo hicho cha maji wametoa Join instruction na kuna fomu ya kujaza na kuipeleka chuoni kwa wale wanaohitaji kupata vyumba chuoni hapo. Kudownload Join instruction binya HAPA Kudownload fomu ya accommodation binya HAPA KWA TAARIFA ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO USISITE KUWA UNATEMBELEA KATIKA BLOG HII YA superneat2013.blogspot.com USISAHAU KUSHARE NA WENZAKO ILI TAARIFA ZIZIDI KUSAMBAA NA KUWAFIKIA WALENGWA
UTANGULIZI Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu/vyuo ( Higher Education Students' Loans Board) ikiwa ni moja ya utekelezaji wa sela ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 ilianzishwa ili kusimamia swala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu/vyuo ikiwa ni pamoja na kusimamia swala la marejesho ya mikopo hiyo kwa wanafunzi wa kuanzia mwaka 1994. Mikopo hii inatolewa kwa wanafunzi wenye uhitaji na waliokidhi vigezo vya kuendelea na chuo lakini pia lazima wawe wamefanya maombi ya mikopo hii. Kwa maana rahisi mwanafunzi muhitaji ni: • Mwanafunzi ambaye hana wazazi wote • Mwanafunzi ambaye hajiwezi au wazazi wake hawajiwezi (ulemavu) • Mwanafunzi ambaye amepoteza mzazi mmoja • Mwanafunzi ambaye anatoka katika familia ya kimasikini. Mikopo kwa wanafunzi wa degree inatolewa aidha kusaidia kabisa au kusaidia kiasi flani katika maswala ya: i. Chakula na Makazi ii. Vitabu na huduma za Stationary iii. Mahitaji muhimu kuhusiana na kozi husika mwanafunzi anayochukua iv....
Comments
Post a Comment