Posts

Showing posts from October, 2017

Matokeo ya Mtihani wa kumaliza Darasa la Saba (PSLE) 2017 yametangazwa

Image
Kutazama matokeo bofya hapa  MATOKEO

ORODHA YA KWANZA YA MAJINA YA WALIOPATA MIKOPO 2017/2018

Waombaji wa Mwaka wa Kwanza Tunapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kuwa, baada ya uchambuzi wa maombi yao,  Orodha ya Awamu ya Kwanza  yenye  wanafunzi 10,196  wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupangiwa mikopo imekamilika. Kiasi cha  Tshs 34.6 bilioni  kimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao  10,196 . Kwa ujumla,  Tshs 108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi  30,000  wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo  2017/2018 .    Orodha hiyo ya kwanza inapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Orodha nyingine (batches) zitafuata kadri taratibu za  udahili na uchambuzi  zinavyokamilika. Lengo ni kutoa majina ya wote waliofanikiwa kupata mkopo kabla ya vyuo kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba, 2017. Orodha hii ya wanafunzi  10,196  imepatikana baada ya kupokea na kuchambua  Awamu ya Kwanza  ya majin...

ORODHA YA MAJINA YA WANAFINZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA KUTANGAZWA

Image
​​ Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema baada ya uchambuzi wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018, orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo imekamilika. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatano Oktoba 18,2017 amesema Sh34.6 bilioni zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196. Amesema kwa jumla Sh108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi 30,000 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Badru amesema orodha ya awamu ya kwanza inapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo http://www.heslb.go.tz/ na itatumwa kwa vyuo husika. Amesema orodha nyingine (batches) zitafuata kwa kadri utaratibu wa udahili na uchambuzi unavyokamilika. “Lengo ni kutoa majina ya wote waliofanikiwa kupata mkopo kabla ya vyuo kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba, 2017,” amesema. Mkurugenzi mtendaji huyo amesema orodha hiyo ya wanafunzi 10,1...

UDAHILI WA AWAMU YA PILI KWA AMBAO HAWAKUCHAGULIWA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU MWISHO 10/10/2017

Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) inautangazia umma kuwa awamu ya kwanza ya udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tar. 30/08/2017 na uhakiki wa majina ya waombaji wote walioomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/18 tayari. Hata hivyo kutokana na waombaji wengi kutochaguliwa kutokana na sababu mbalimbali tume imefungua awamu ya pili ya maombi kuanzia 4 hadi 10 octoba 2017. Kusoma zaidi bofya  HAPA

LATEST NEWS: REPORTING DATE FOR THE SELECTED DIPLOMA COURSE CANDIDATE 2017/18 - CUHAS

The following Candidates are required to report at University on Saturday 30/09/2017. Please Download the following forms and bring them for registration process. Please use the following contacts for confirmation Email: vc@bugando.ac.tz and Telephone: +255 28 2500881 IAHS_REGISTRATION201718_YR1.pdf

SELECTED APPLICANTS AT CUHAS AND OTHER UNIVERSITIES

Below is the list of applicants who have been successfully been selected to join various programmes at CUHAS but also been selected to join other Universities.  Applicants have to confirm joining at CUHAS not later than 08/10/2017 through the following Contacts   Mobile:0766 322 391, +255 28 2500881 Email:vc@bugando.ac.tz  Bachelor Of Pharmacy Doctor Of Medicine Bachelor Of Science In Nursing

APPLICANTS APPROVED FOR ADMISSIONS AT CUHAS 2017/2018

List of all applicants to join various programmes for the year 2017/2018 Bachelor Of Pharmacy Doctor Of Medicine Bachelor Of Science In Nursing

First Batch of Students Selected to Join Undergraduate Degree Programmes for Academic Year 2017/2018 - SUA

Image
Created on 04 October 2017 The following applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year which commences on the  30 th  October, 2017 . Students are advised to observe the following:  Read More

List of Undergraduate Degree Students With Multiple Admissions - SUA

Image
Created on 04 October 2017 The following applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year but have also been selected by other Universities.  Sokoine University of Agriculture  wishes to request individual students with multiple admission to confirm that they will join SUA by writing to us using our email  confirmation@suanet.ac.tz . |  Read More

List of Undergraduate Degree Students With Problems - SUA

Image
Created on 04 October 2017 The following applicants applied to join SUA in various degree programmes for the 2017/2018 academic year. Due to the under listed problems their applications are yet to be considered. They are required to call admission using the telephone number below so that their problems can be resolved:  Read More