HATIMAE MIKOPO KUANZA KUOMBWA KESHO TAR.06/08

          Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia 06/08/2017 hadi 04/09/2017.
          Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz
          Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa
          Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa
          Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa:-
  • Kiswahili bofya hapa
  • Kiingereza bofya hapa



Comments

Popular posts from this blog

MCHONGO WA PESA

WALIOCHAGULIWA CHUO CHA WATER INSTITUTE UBUNGO

HABARI KUHUSU MIKOPO KWA KIDATO CHA SITA WOTE