MCHONGO WA PESA


SN DONATION PLATFORM


HABARI! NAOMBA MDA WAKO MCHACHE NIKUFAHAMISHE KUHUSU SN DONATION PLATFORM.

         Ili kuwa mwanachama utafanya usajili ambapo wakati wa usajili utakutana na kipengele kinachokutaka kuweka CODE ya mtu aliyekushirikisha. Jaza CODE uliyopewa na mtu wako na kama haujashirikishwa na mtu basi jaza CODE hii SN0001 kwa Tanzania na hii SNK0002 kwa Kenya.
Baada ya hapo utaelekezwa mahali pa kutuma pesa kulingana na CODE uliyoijaza. Kwa Tanzania ni Tzs 6,000/= na Kenya ni Ksh 400/=. Tuma pesa na jaza kumbukumbu namba. Baada ya hapo wasiliana na muhusika uliyemtumia pesa akutibitishe na baada ya yeye kukuthibitisha utaweza kuingia kwenye akaunti yako na utaikuta CODE yako humo.
Baada ya kupata CODE ndio safari ya plan A inapoanzia.

PLAN A

Baada ya kupata CODE sasa hapo utakuwa Daraja C (Yakuti) na ndani ya wiki mbili utatakiwa kuwa umeshirikisha watu watatu watakao jiunga chini yako.
ZINGATIA: Kila ulichofanya ndicho atakachofanya mtu wako wa chini pia.
Kumbe basi watu hao watatu utakao washirikisha watajisajili kama wewe na watatakiwa kutumia CODE yako wakati wa usajili. Baada ya usajili wataelekezwa kutuma pesa kwako na watapaswa kukutumia na utawathibitisha baada ya kuwa wameshakutumia pesa. (Hakikisha wametumia CODE yako kwenye usajili).
Kumbe basi, Yakuti (Daraja C) hapa utapokea Tzs 6,000/= kwa Tanzania na Ksh 400/= kwa Kenya kutoka kwa watu watatu na itakuwa jumla Tzs 18,000/= (Ksh1200). Katika pesa hii faida yako itakuwa Tzs 9,000/= (Ksh 600) na Tzs 9,000/= ( Ksh 600/=) nyingine utatakiwa kuichangia kwa mtu aliyemshirikisha yule aliyekushirikisha wewe ili upande daraja B uweze kupokea pesa nyingine.
Mfano wewe umeshirikishwa na mtu "A" na huyu mtu "A" alishirikishwa na mtu "B" hapa hiyo Tzs 9,000/= (Ksh 600/=) utaituma kwa mtu "B".
Unapaswa kupanda daraja B mara tu upokeapo kichango ya watu wako wawili.
Baada ya kutuma hiyo Tzs 9,000/= (Ksh 600/=) utaingia Zumaridi (Daraja B). Hapa Zumaridi utachangiwa na watoto wa wale watoto wako watatu. Yaani, wewe si ulishirikisha watu watatu, hawa tuwaite watoto wako, hivyo basi hawa watoto wako watatu kila mmoja atakuzalia wajukuu watatu na utapata wajukuu tisa. Kila mjukuu atakapokuwa anapanda daraja B ndani ya wiki nne tangu uingie daraja B atakutumia Tzs 9,000/= (Ksh 600/=) . Kumbuka unawajukuu tisa hivyo utapokea jumla ya Tzs 81,000/= (Ksh 5,400/=)
Katika hii Tzs 81,000/= (Ksh 5,400/=) faida yako itakuwa 31,000/= (Ksh 2,100/=) na Tzs 50,000/= (Ksh 3,300/=) itatumika kuchangia kwaajili ya kuingia Almasi (Daraja A). Pesa hii itatumwa katika makundi mawili:
  1. Tzs 10,000/= (Ksh 650/=) itatumika kama mchango wa kuendesha fursa hii.
  2. Tzs 40,000/=(Ksh 2,650/=) utaituma kwa mtu aliyemshirikisha yule uliyemtumia Tzs 9,000/= (Ksh 600/=) kipindi unaingia Zumaridi (Daraja B).
Mfano wewe umeshirikishwa na mtu "A" na huyu mtu "A" alishirikishwa na mtu "B" na huyu mtu "B" alishirikishwa na mtu "C" hapa hiyo Tzs 40,000/= (Ksh 2,650/=) utaituma kwa mtu "C".
Zingatia, huhitaji kumtafuta mtu wa kumchangia, system yenyewe itakupa details zako za kumtumia pesa.
Baada ya kutuma hiyo Tzs 40,000/= (Ksh 2,650/=) utaingia Almasi (Daraja B). Hapa Almasi utachangiwa na watoto wa wale wajukuu wako Tisa. Yaani, wewe si ulishirikisha watu watatu, hawa tuwaite watoto wako, hivyo basi hawa watoto wako watatu kila mmoja atakuzalia wajukuu watatu na utapata wajukuu tisa. Kila mjukuu pia atakuzalia vitukuu watatu hivyo utakuwa na vitukuu 27. Hawa vitukuu 27 watakapokuwa wanapanda Daraja A ndani ya wiki sita tangu uingie Daraja A watakutumia Tzs 40,000/= kila mmoja. Kumbuka unavitukuu 27 hivyo utapokea jumla ya Tzs 1,080,000/= (Ksh 74250).
Katika hii Tzs 1,080,000/= (Ksh 74,250/=).  faida yako itakuwa 1,020,000/= (Ksh 70,250/=) na Tzs 60,000/= (Ksh 4,000/=) itatumika kuchangia kwaajili ya kuingia sasa Plan B.
KUMBUKA:
  1. Ukichukua wiki 2 za kutafuta watu daraja C, wiki 4 za kupokea pesa daraja B na wiki 6 za kupokea pesa daraja A jumla ni wiki 12 sawa na miezi mitatu. Hivyo basi SN Donation Platform inakuwezesha kutengeneza TZS 1,080,000+ (Ksh 74,250+) Ndani ya miezi mitatu ukiwa umeanza na mtaji wa TZS 6,000 (Ksh 400) tu. Zingatia juhudi yako ni muhimu kulifanikisha hili.
  2. Tunaposema ndani ya muda fulani tunamaanisha sio lazima mda uwe huo huo unaweza kuwa pungufu.
  3. Kumbe basi SN Donation Platform inamfumo unaoeleweka na wenye uwazi unajiunga unafanya kinachotakiwa kufanya unayafikia malengo.
  4. Kusajili kaunti zaidi ya moja hairuhusiwi ukihitaji kumiliki akaunti zaidi ya moja piga simu ofisini.
  5. SNDP inakupa nafasi ya kuwa unatafuta watu hata kama umeshatimiza watatu kisha unawauzia wale ambao hawawezi kutafuta, kwa kufanya hivi wengi wameingiza si chini ya Tzs 1,5000/= kwa siku mbali na pesa za kwenye mzunguko.

PLAN B

Plan B inafanya kazi kwa mfumo huo huo isipokuwa yenyewe utajiunga kwa TZS 60,000/= baada ya kuwa umemaliza Plan A na faida yake ni mara kumi kwa kila daraja hivyo mwisho wa mzunguko utapata TZS 10,800,000/=.

ZINGATIA:
Hapa hautafuti watu ila unashauriwa mapema tu ukishapata kiasi kizuri cha pesa katika daraja la mwisho Plan A uombe kuunganishwa Plan B watu hapa watapangwa kwa foleni na aliyewahi kujiunga atapata kwanza kabla ya aliyechelewa.

Mfumo huu wa SN Donation Platform unakupa uhuru wa kazi kwani ofisi inakuwa simu yako hakuna bidhaa za kuuza kuinufaisha kampuni ndio upate faida na pia pesa hazipiti ofisini ni baina ya mwanachama na mwanachama, pesa inayokwenda ofisini niyaofisi. Kumbe basi usalama ni uhakika.

KUSOMA ZAIDI KUHUSU PLAN B BOFYA HAPA

KUSOMA JINSI YA KUJISAJILI BOFYA HAPA

KUJIUNGA NA KIKUNDI CHA WANACHAMA TELEGRAM BOFYA HAPA

KUJIUNGA NA CHANNEL YETU TELEGRAM BOFYA HAPA

KAMA HAUNA APP YA TELEGRAM GUSA HAPA KUIPAKUA MOJA KWA MOJA PLAYSTORE


JUHUDI NI DARAJA LA KUZIFIKIA NDOTO ZAKO


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

WALIOCHAGULIWA CHUO CHA WATER INSTITUTE UBUNGO

HABARI KUHUSU MIKOPO KWA KIDATO CHA SITA WOTE