MWONGOZO KWA WANAFUNZI WANAO TAKA KUCHUKUA DIPLOMA
Kama wewe ni mwanafunzi wa kidato cha sita na umekosa points za kukuwezesha kuapply degree basi fanya maamuzi mapema sana ya kuapply diploma kabla muda haujakuishia. Mwisho wa maombi ni 20/08/2017. Kumbuka ushindani ni mkubwa sana mwaka huu kuna kidato cha sita wengi wamekosa points za kuwawezesha kuomba degree lakini mbali na kidato cha sita kidato cha nne pia walikuwa wengi walio omba na wanao endelea kuomba.
Zingatia kabla hujafanya maombi unashauliwa kupitia kitabu cha mwongozo wa vyuo na kozi wanazotoa lakini bila kusahahu ada ili unapoomba uwe unaomba kitu utakachoridhika na utakacho kimudu. Binya hapa kusoma kitabu hicho Admission Guidebooks Kwa Wanafunzi Wa Diploma na Certificate

Comments
Post a Comment