Posts

Showing posts from July, 2017

MWONGOZO KWA WANAFUNZI WANAO TAKA KUCHUKUA DIPLOMA

         Kama wewe ni mwanafunzi wa kidato cha sita na umekosa points za kukuwezesha kuapply degree basi fanya maamuzi mapema sana ya kuapply diploma kabla muda haujakuishia. Mwisho wa maombi ni 20/08/2017. Kumbuka ushindani ni mkubwa sana mwaka huu kuna kidato cha sita wengi wamekosa points za kuwawezesha kuomba degree lakini mbali na kidato cha sita kidato cha nne pia walikuwa wengi walio omba na wanao endelea kuomba. Zingatia kabla hujafanya maombi unashauliwa kupitia kitabu cha mwongozo wa vyuo na kozi wanazotoa lakini bila kusahahu ada ili unapoomba uwe unaomba kitu utakachoridhika na utakacho kimudu. Binya hapa kusoma kitabu hicho  Admission Guidebooks Kwa Wanafunzi Wa Diploma na Certificate

HABARI KUHUSU MIKOPO KWA KIDATO CHA SITA WOTE

UTANGULIZI Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu/vyuo ( Higher Education  Students' Loans Board) ikiwa ni moja ya utekelezaji wa sela ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 ilianzishwa ili kusimamia swala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu/vyuo ikiwa ni pamoja na kusimamia swala la marejesho ya mikopo hiyo kwa wanafunzi wa kuanzia mwaka 1994. Mikopo hii inatolewa kwa wanafunzi wenye uhitaji na waliokidhi vigezo vya kuendelea na chuo lakini pia lazima wawe wamefanya maombi ya mikopo hii. Kwa maana rahisi mwanafunzi muhitaji ni: • Mwanafunzi ambaye hana wazazi wote • Mwanafunzi ambaye hajiwezi au wazazi wake hawajiwezi (ulemavu) • Mwanafunzi ambaye amepoteza mzazi mmoja • Mwanafunzi ambaye anatoka katika familia ya kimasikini. Mikopo kwa wanafunzi wa degree inatolewa aidha kusaidia kabisa au kusaidia kiasi flani katika maswala ya: i. Chakula na Makazi ii. Vitabu na huduma za Stationary iii. Mahitaji muhimu kuhusiana na kozi husika mwanafunzi anayochukua iv....

MATOKEO YA UALIMU (DSEE) 2017 HAYA HAPA

Kwa matokeo ya ualimu binya hapa MATOKEO UALIMU (DSEE) 2017

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2017 HAYA HAPA

Image
                             To open form six national examination results click here   MATOKEO ACSEE 2017