Posts

MAELEZO YA KINA KUHUSU PLAN B YA SN DONATION PLATFORM

Image
HABARI TENA MTU WANGU, LEO TUNAENDELEA NA PLAN B YA FURSA HII PENDWA YA KITANZANIA YA SN DONATION PLATFORM NIFUATILIE KWA UKARIBU MWANZO MPAKA MWISHO WA MAKALA HII NA UTAELEWA. Utapata nafasi ya kuingia Plan B baada ya kuwa tayari umeanza na Plan A. Kumbe basi mwanachama ambaye amefika Plan B kapita madaraja yote matatu ya Plan A ndio akafika Plan B. Hapa katika Plan B ama kwa hakika pesa ni nyingi sana maana utajipatia mpaka Million Kumi kwa ule ule mtaji wako wa Tzs 6,000/= isipokuwa mafanikio yako ya haraka ni kuifanya familia yako kukua kwa kasi kwa kushirikiana nyote kwa pamoja. Pia wapo wenye kuitambua kwa mapema zaidi fursa hii kuwa inamanufaa ambao sasa hujipandisha madaraja ya Plan A haraka kuwahi foleni ya Plan B. Hii haizuii wewe kuendelea kupokea michango yako ya Plan A bali itakupa nafasi nzuri zaidi ya kuwahi kupokea michango yako ya Plan B kwakua Plan B pesa zinapokelewa kwa foleni. Ili uelewe Plan hii lazima usome kwanza Plan A: Kama haujasoma bado BOFYA HAPA ...

MCHONGO WA PESA

Image
SN DONATION PLATFORM HABARI! NAOMBA MDA WAKO MCHACHE NIKUFAHAMISHE KUHUSU SN DONATION PLATFORM.          Ili kuwa mwanachama utafanya usajili ambapo wakati wa usajili utakutana na kipengele kinachokutaka kuweka CODE ya mtu aliyekushirikisha. Jaza CODE uliyopewa na mtu wako na kama haujashirikishwa na mtu basi jaza CODE hii SN0001 kwa Tanzania na hii SNK0002 kwa Kenya. Baada ya hapo utaelekezwa mahali pa kutuma pesa kulingana na CODE uliyoijaza. Kwa Tanzania ni Tzs 6,000/= na Kenya ni Ksh 400/=. Tuma pesa na jaza kumbukumbu namba. Baada ya hapo wasiliana na muhusika uliyemtumia pesa akutibitishe na baada ya yeye kukuthibitisha utaweza kuingia kwenye akaunti yako na utaikuta CODE yako humo. Baada ya kupata CODE ndio safari ya plan A inapoanzia. PLAN A Baada ya kupata CODE sasa hapo utakuwa Daraja C (Yakuti) na ndani ya wiki mbili utatakiwa kuwa umeshirikisha watu watatu watakao jiunga chini yako. ZINGATIA: Kila ulichofanya nd...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017 HAYA HAPA

Image
Hatimae matokeo ya kidato cha nne kutangazwa. Bofya mahali husika kutazama matokeo. JAN 30 Link 1: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2017 JAN 30 Link 1: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2017 JAN 30 Link 2: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2017 JAN 30 Link 2: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2017

Matokeo ya Mtihani wa kumaliza Darasa la Saba (PSLE) 2017 yametangazwa

Image
Kutazama matokeo bofya hapa  MATOKEO

ORODHA YA KWANZA YA MAJINA YA WALIOPATA MIKOPO 2017/2018

Waombaji wa Mwaka wa Kwanza Tunapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kuwa, baada ya uchambuzi wa maombi yao,  Orodha ya Awamu ya Kwanza  yenye  wanafunzi 10,196  wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupangiwa mikopo imekamilika. Kiasi cha  Tshs 34.6 bilioni  kimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao  10,196 . Kwa ujumla,  Tshs 108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi  30,000  wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo  2017/2018 .    Orodha hiyo ya kwanza inapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Orodha nyingine (batches) zitafuata kadri taratibu za  udahili na uchambuzi  zinavyokamilika. Lengo ni kutoa majina ya wote waliofanikiwa kupata mkopo kabla ya vyuo kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba, 2017. Orodha hii ya wanafunzi  10,196  imepatikana baada ya kupokea na kuchambua  Awamu ya Kwanza  ya majin...

ORODHA YA MAJINA YA WANAFINZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA KUTANGAZWA

Image
​​ Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema baada ya uchambuzi wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018, orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo imekamilika. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatano Oktoba 18,2017 amesema Sh34.6 bilioni zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196. Amesema kwa jumla Sh108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi 30,000 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Badru amesema orodha ya awamu ya kwanza inapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo http://www.heslb.go.tz/ na itatumwa kwa vyuo husika. Amesema orodha nyingine (batches) zitafuata kwa kadri utaratibu wa udahili na uchambuzi unavyokamilika. “Lengo ni kutoa majina ya wote waliofanikiwa kupata mkopo kabla ya vyuo kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba, 2017,” amesema. Mkurugenzi mtendaji huyo amesema orodha hiyo ya wanafunzi 10,1...

UDAHILI WA AWAMU YA PILI KWA AMBAO HAWAKUCHAGULIWA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU MWISHO 10/10/2017

Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) inautangazia umma kuwa awamu ya kwanza ya udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tar. 30/08/2017 na uhakiki wa majina ya waombaji wote walioomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/18 tayari. Hata hivyo kutokana na waombaji wengi kutochaguliwa kutokana na sababu mbalimbali tume imefungua awamu ya pili ya maombi kuanzia 4 hadi 10 octoba 2017. Kusoma zaidi bofya  HAPA